B.U.T.E.R.E

Echoes of war, na bado mnacheka kwa viti vya serikali?


Bridges burnt while babies beg for bread,

UDA ndio wazito wanakula nyama, sisi tukimeza mate,

Tears of youth flood the cracked streets of Kenya,

Every promise tossed like trash on election day,

Ruto aka Kasongo, mkono wako sio msafi,  

Echoes of war, na bado mnacheka kwa viti vya serikali.


Bila aibu mnauza ndoto za watoto wetu, 

Ukweli mnaubandika kwa propaganda za magazeti,

Tumechoka kupiga kelele hewani,

Eneo baada ya eneo linaungua kwa njaa na hasira,

Risasi za bei rahisi, maisha kwa bei ya raisi, 

Echoes of war, na bado mnacheka kwa viti vya serikali.


Bendera zinapeperusha uongo hewani,  

Uma-skini umetundikwa kama bango za siasa,

Tumebaki kushangilia kwa miguu iliyofungwa pingu,

Embelezwa na ndoto zisizoamka,

Rudini nyuma mje muone mliyoharibu,

Echoes of war, na bado mnacheka kwa viti vya serikali.





Comments

Anonymous said…
It is sad that our leaders are 'professional ostriches'... The masters of the 'sky' with no affiliation with the 'ground'... One day they will not believe it

Popular posts from this blog

I was wrong about marriage.

When the firstborn dies.

Dear Parents, pray.